Surprise Me

Nay wa Mitego: nilikuwa na hofu na 'alisema' - HDMaza.pw

Oct 16, 2018 174 13 30,467

Rapa machachari bongo Nay wa mitego ameiambia eNEWZ kwamba alikuwa na hofu sana baada ya wimbo wake wa ALISEMA kukamilika,huku akikiri kwamba ni kweli wimbo huo ni wa mwisho hatoimba tena nyimbo za aina ile kwa kuwa mama yake mzazi hapendi nyimbo za aina hiyo kwa kuhofia kwamba nyimbo za aina hiyo zitamfanya Nay afungwe kama ilivyokuwa kwenye nyimbo ya WAPO.

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw