Surprise Me

Chama cha Wiper chakutana kujiandaa kwa Kampeini ya embakasi kusini - HDMaza.pw

Jan 29, 2019 5 0 740

Viongozi wakuu wa chama cha wiper kinachongozwa na Kalonzo Musyoka wanakutana katika makao makuu ya chama hicho mtaani lavington hapa jijini nairobi. Mojawapo ya ajenda za mkutano huo ni uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Embakasi kusini ambapo chama hicho kinampigia debe Julius Mawathe aliyeondolewa mamlakani na mahakama. Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenyaTags: wiper    mawadhe    emakasi kusini    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw