Surprise Me

MSANII wa BONGO MOVIE Auawa nchini A Kusini - HDMaza.pw

Nov 12, 2018 11 3 2,507

MSANII wa BONGO MOVIE Auawa nchini A Kusini MACHOZI! Msanii ambaye ni mwigizaji mwanamama wa Bongo Muvi, Leyness Ngunguye amefariki dunia akiwa kwenye dimbwi la damu baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana nchini Afrika Kusini ‘Sauz’. Tukio hilo lililoacha simanzi nzito kwa Watanzania waishio nchini humo lilijiri hivi karibuni maeneo ya Mgahawa wa Nando’s jijini Johannesburg, Afrika Kusini. LEYNESS NI NANI? Leyness ni Mtanzania aliyekuwa anapeperusha bendera ya Bongo Muvi nchini Afrika Kusini tangu miaka ya 2000 huku kazi zake na wenzake zikisambazwa na Kampuni ya Steps Entertainment yenye makao yake hapa nchini. Leyness alianza kazi hiyo mwaka 2000 nchini humo ambapo kazi yake ya kwanza iliyomtambulisha kwenye ulimwengu wa filamu ni Bad Friend aliyoigiza kama dada wa uswahilini. Katika sinema hiyo, Leyness alitumia jina la uigizaji la Emmy akiwa na washiriki wengine hapa Bongo kama Ummy Wenslaus ‘Dokii’, Dadi Ramadhan, Ashura Ng’anga, Maximilian Bushoke na Fortunatus Kasomfi. Msanii huyo pia alishiriki utengenezwaji wa Sinema ya My Nephew akiwa kama mwongozaji mkuu. NDUGU ASIMULIA Akisimulia kwa machungu kifo hicho baada ya mazishi ya Leyness yaliyofanyika mapema wiki hii Chamazi jijini Dar, ndugu wa marehemu aliyekuwa akiishi naye Afrika Kusini, Dalini Ngunguye alieleza kisa na mkasa wa kusikitisha. Dalini alisema kuwa, anakumbuka ilikuwa mchana ambapo dada yake huyo alimuaga kwamba anaelekea sehemu iitwayo Nando’s. Alisema alipomuuliza anakwenda kufanya nini, alimwambia anakwenda kufanya ‘shopping’ ya vitu vyake mbalimbali. Dalini alieleza kuwa, Leyness aliondoka nyumbani na mmoja wa marafiki zake wa karibu ambaye ndiye walikuwa wakipenda kutoka wote mara kwa mara. SUBSCRIBE: Global TV Online: https://goo.gl/nQY3hy Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho -~-~~-~~~-~~-~- Please watch: "MUME BWEGE ANATAKA KUTUMBULIWA JIPU HADHARANI" https://www.youtube.com/watch?v=N1X-fD201ZU -~-~~-~~~-~~-~-Tags: bongo movie    wasanii    msanii wa bongo movie auawa nchini a kusini    leyness ngunguye    steps entertainment    filamu ya bad friend    global tv online    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw