Surprise Me

Maajabu ya YAI na LIMAO kwenye ngozi yako ukifanya hivi - HDMaza.pw

Sep 18, 2018 4 911 909,029

Je, Unafahamu kuwa Yai na limao au ndimu vinaweza kutumika katika kulainisha ngozi yako? Ndio, yai hasa la kienyeji pamoja na limao (Lemon) vinaweza kupendezesha ngozi yako ukitumia kwa ufasaha. Jinsi unayoweza kufanya ni kama ilivyoelezwa katika video hii. Usisahau Ku Subscribe ili ujinee maajabu Zaidi kwenye video inayofuata kuhusu yai na vitu vingine viwili vinavyotumika katika kulainisha ngozi yako na kukufanya kuwa na mvuto Zaidi.Tags: egg scrub    egg mask    home remedies    skin care    yai kama dawa    how to use egg    best face mask    get rid of pimples    remove face wrinkles    how to look young    making smooth skin    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw