Surprise Me

Ngumi zatawala bunge Afrika Kusini: Papo kwa Papo 10.02.2017 - HDMaza.pw

Feb 10, 2017 14 0 7,433

Wabunge wa upinzani Afrika Kusini wamezichapa na maaskari usalama waliowatao kwa nguvu bungeni baada ya kuvuruga hotuba ya rais Jacob Zuma. Mahakama ya rufaa Marekani yakataa kurejesha marufuku ya kusafiri ya rais Donald Trump. Mamia ya nyangumi wafa baada ya kukwama ufukwemi New Zealand.Tags: dw    deutsche welle    kiswahili    swahili    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw