Surprise Me

Huyu ndiye Winnie Mandela, aliyetikisa Afrika Kusini - HDMaza.pw

Apr 3, 2018 43 3 3,686

Jana April 2, 2018 Winnie Mandela, ambaye ni mke wa zamani wa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela, alifariki dunia huko Johanesberg Afrika Kusini. Winnie Mandela ambaye alikuwa mwanaharakati na mwanasiasa na alipigana dhidi ya utawala wa ubaguzi wa rangi nchini humo amefariki akiwa na umri wa miaka 81.Tags: marehemu winnie mandela    winnie mandela    kumbukumbu    ayo tv    afrika kusini    msiba wa winnie mandela    janeth mesomapya    millard ayo    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw