Surprise Me

Nay Wa Mitego apigiwa simu na Viongozi, kisa wimbo wa ‘Alisema’ - HDMaza.pw

Oct 8, 2018 152 7 18,192

Staa wa muziki wa Bongofleva kutokea Free Nation Nay wa Mitego leo amedai kuwa Viongozi wengi nchini wameonekana kumshangaza, baada ya kumpigia simu na kumpa pongezi nyingi kutokana na ngoma yake mpya ya “Alisema” aliyoiachia rasmi October 6,2018.Tags: habari za mastaa    wasanii    nay wa mitego    ayo tv    millard ayo    viongozi kumpigia nay wa mitego    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw