Surprise Me

Je UKE Wako Umelegea? Jinsi Ya Kujua Kama UKE Wako Umelegea AU Upo Sawa. - HDMaza.pw

Sep 5, 2018 35 10 10,995

mengine ya bei kubwa. KINACHOSABABISHA UKE KULEGEA Uke kulegea au kuwa mkubwa zaidi unaweza kutokea kutokana na sababu nyingi. Kumbuka pia kushiriki tendo la ndoa mara chache siyo suluhisho la kuwa na uke mdogo. Hakuna uhusiano wa moja kwa moja wa kuwa na uke mkubwa na kushiriki tendo la ndoa mara nyingi. Pia hakuna uhusiano wa umri na ukubwa wa uke. Wapo wamama watu wazima wana uke mdogo pia kuna wasichana wadogo kabisa wana uke mkubwa kupitiliza. Watu wengine huamini kuwa mwanamke mwenye uke mkubwa na mlegevu ametembea na wanaume wengi sana, jambo hilo sio kweli kwani hakuna uume unaoweza kufanya hivyo ila mwanamke aliyezoea uume mkubwa anaweza kupata shida kufurahia tendo la ndoa akipata mwanaume mwenye uume mdogo. Kama ilivyo kwa uume kwamba wanaume wana uume wenye ukubwa tofauti tofauti kadharika wanawake nao kila mwanamke ana uke wa ukubwa tofauti tofauti tofauti. Kwa kawaida hakuna mwanaume anayependa kushiriki tendo la ndoa na mwanamke mwenye uke mkubwa. Kuna tetesi zisizo rasmi kuwa hata wanaume wanaopenda kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile na wake zao huanza tabia hiyo mara baada ya kuona uke umelegea kiasi cha kutokuwa na radha tena. Uke kulegea ni matokeo ya asili ya kuchakaa na kupanuka kwa kuta zake. Mfano mara baada tu ya kujifungua misuli ya uke inalegea na kama hutachukua hatua mapema uke unaweza kupoteza hali ya kujibana tena na kurudi kwenye saizi yake ya awali. Je kuna njia za kugundua kama una uke mdogo au mkubwa ? Wanawake wengi hawajui ukubwa wa uke wao kwa kuwa hawawezi kujipima au kuona umuhimu wa kufanya hivyo. Uke unapokuwa katika hali yake ya kawaida kuta zake zinalaliana na kwa wengi kipenyo cha uke hakizidi inch 1 na nusu na urefu wake kati ya inch 3 hadi 4, hata hivyo ukubwa wake hubadilika mwanamke anapokuwa tayari kwa tendo la ndoa. Unaweza kuwa inch 1 au moja na nusu ni ndogo kwa mwanaume kupitisha uume wake, ukweli ni kwamba uke una uwezo wa kutanuka ili uweze kumeza uume. Ukiingia ndani ya uke ukubwa huongezeka zaidi hadi kufikia inch 3. Kwa wanawake waliozaa hawana budi kukabiliana na ongezeko la ukubwa wa uke wao,kadri watoto wanavyozidi kuongezeka ndivyo ukubwa wa uke uongezekavyo ,hali hii hutokana na uharibifu wa misuli iliomo katika kuta za uke. Kama uke wako umepanuka zaidi na umekuwepo ulegevu mkubwa matokeo yafuatayo yatakukabili; 1.Hutafurahia tendo la ndoa 2.Mpenzi au mumeo atapata shida kuridhika nawe kutokana na hali ya kupwayapwaya. 3.Unaweza kupata tatizo la hewa kuingia ndani ya uke na kusababisha hali inayofanana na kujamba,jambo linalowakuta wanawake wengi. Baada ya kujifungua yanakuwepo mabadiliko ya vichocheo muhimu,kichocheo cha Estrogen na Progesterone hupungua na hili husababisha upungufu wa majimaji ya kupunguza msuguano wakati wa kufanya mapenzi. UTAJUAJE KUWA UKE WAKO UMELEGEA AU KUONGOZEKA UKUBWA? Wanawake wengi wanagundua kuwa uke wao umebadilika pale mpenzi au mume anapoanza kulalamika au kupoteza hamu ya kufanya mapenzi. Wengine wanashindwa kujua kwanini wapenzi wao au waume zao wamepoteza msisimko wa kufanya mapenzi kama zamani,hapa ndipo unapoonekana umuhimu wa wapenzi kushirikishana mambo mbalimbali katika mahusiano yao bila woga. Zifuatazo ni ishara za kujua kama huko chini kumelegea au kuwa kukubwa 1. Kama ukiingiza kidole chako ukeni inakuwa vigumu kukibana kwa uke wako 2. Unapokuwa bado hujapata hamu ya kufanya mapenzi,uke wako (tundu ambalo uume huuingia) linakuwa wazi yaani hupati pingamizi lolote ukiingiza kidole. 3. Unaweza kuingiza vidole vitatu au zaidi ndani ya uke wako bila kipingamizi kikubwa. 4. Unapata shida kubwa kufika kileleni. Sababu kuu za uke kulegea na kuwa mkubwa ni pamoja na: * Kuzaa mara kwa mara * Uzito na unene uliozidi * Kujifungua kwa upasuaji * Kuinua vitu vizito mara kwa mara * Mazoezi mazito ya mara kwa mara * Misukosuko ya siku za nyuma katika nyong SUBSCRIBE hapo juu na share, like na comment ili uendelee kupata habari za kila siku matukio ya watu maarufu nchini na nje ya nchi, na vichekesho zaidi kutoka hapa Kwitega Media . ahsante Press SUBSCRIBE button below so that you will be at a good chance to receive our videos once posted at a right timeTags: tanzania news    tanzania    uke    tanzania music    bongotimes tv    diamond    kubana uke    bongotimes    mnato    diamond platinum    alikiba    uke mkubwa    tanzania politics    uke kulegea    tanzania entertainment    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw