Surprise Me

JINSI YA KUPIKA PILAU TAMU SANA KWA NJIA RAHISI. - HDMaza.pw

Aug 11, 2018 2 282 335,950

VINAVYOHITAJIKA Nyama nusu Mchele nusu na robo Vitunguu maji viwili Carrot moja kubwa Dania moja Pilipili boga moja Kitunguu thomu kilichopondwa 1&1/2 tbspn Tomato 4-5 Viazi 10-12 Pilipili manga 1tbspn Mdalasini 1tbspn Bizari nyembamba(njira) 1tbspn Mafuta ya uto kiasi Chumvi kiasi Hii pilau unaweza kula na pilipili ya kukaanga na link ya hiyo pilipili ndio Kama ifuatavyo https://youtu.be/biuD4Iv9pO4 Instagram https://www.instagram.com/farwats_kitchen/

eXTReMe Tracker
HDMaza.pw