Surprise Me

KWA KINA: Tumeongea na NECTA kujua namna udanganyifu ulivyofanyika - HDMaza.pw

Oct 2, 2018 14 2 2,311

Baada ya Baraza la Mitihani kutangaza kufuta matokeo ya mitihani kwa baadhi ya shule nchini na kuamuru watahiniwa wake warudie mtihani huo, tumezungumza kwa kina na Katibu Mtendaji wa NECTA, Charles Msonde kufahamu namna uvujaji huo ulivyotokea.Tags: exclusive interview    necta exclusive    charles msonde exclusive    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw