Surprise Me

SABABU 22 ZINAZO UA NGUVU ZA KIUME KWA VIJANA WENGI BILA KUJUA - HDMaza.pw

Jan 5, 2018 7,140

SABABU 22 ZINAZO UA NGUVU ZA KIUME KWA VIJANA WENGI BILA KUJUA Please SUBSCRIBE hapo juu Nguvu za kiume ni neno linalotumika mara nyingi kumaanisha ‘Uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa’. Na inapokuwa tofauti na hivi, tunaita ni ‘upungufu au ukosefu nguvu za kiume’. Kupungukiwa kwa nguvu za kiume . Inaweza kuwa ni hali ya kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume, au hali ya kutokuwa na uwezo wa kufika kileleni kwa muda mzuri wa kutosha. Pamoja na hayo yote, elimu mhimu ambayo mwanaume anatakiwa kuwa nayo, ni kuwa nguvu za kiume hazipatikani kwa kutumia madawa ya kemikali au mahala pengine; bali zinatokana na vyakula tunavyokula kila siku. Wakati mwingine uume kushindwa kusimama inaweza kuwa si tatizo, lakini jambo hilo linapojitokeza kila mara na kwa kipindi kirefu inaweza kuleta msongo wa mawazo kwa mume na mke. Sababu nyingine amabzo zinaweza kupelekea uume usisimame vizuri ni pamoja na matatizo ya mhemko kama; Wasiwasi Hasira Msongo wa mawazo (Stress) Huzuni Hofu na mashaka Kukosa hamu ya tendo la ndoa n.k Mambo mengine yanayopelekea kupunguwa kwa nguvu za kiume, uume kushindwa kusimama vizuri na kuwahi kufika kileleni ni: Uzee Kisukari Kujichua/Punyeto Uzinzi Kukosa Elimu ya vyakula Kutokujishughulisha na mazoezi Shinikizo la juu la damu Ugonjwa wa moyo Uvutaji sigara/tumbaku Utumiaji uliozidi wa kafeina Kudhurika kwa neva au uti wa mgongo Madawa ya kulevya Kupungua kwa homoni ya testerone Athari kutoka kwa baadhi ya dawa Pombe kitu gani hasa hufanya uume usimame Mzunguko wa damu ndicho kitu kinachofanya uume USIMAME. Mzunguko wa damu wenye afya bora husambaza damu ya kutosha katika viungo vyote vya mwili ikijumuisha pia mishipa ya uume kwaio chochote ambacho kinazuia mtiririko wa damu kwenda kwenye uume kinaweza kuzuia kusimama kwa uume. kama mwili wako hautaweza kusimamisha uume vizuri. Hii ni kutokana na kwamba uume haujapata damu ya kutosha. Baadhi ya wanaume wanapatwa na tatizo la kuishiwa nguvu za kiume kama matokeo ya kula vyakula vyenye mafuta mengi ambayo yanaweza kuzuia mtiririko mzuri wa damu kwenye uume. Katika kujitibu tatizo hili jambo la kwanza ni kuelewa ni nini kimesababisha tatizo hilo kwa upande wako.Tags: tricod skills    tricod    skills    tricod tv    nguvu za kiume    nguvu    kiume    ukosefu wa nguvu za kiume    ukosefu wa nguvu    saabu 22    zinazoua nguvu    vijana    bila kujua    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw