Surprise Me

Jinsi ya Kuoka Keki - HDMaza.pw

Mar 28, 2018 4 643 979,066

Mahitaji: 1. Unga vikombe 2 2. Sukari kikombe 1 3. Majarini (Blueband/Mo/Prestige au bata) kikome 1 4. Mayai 4 5. Maji ya limao 1/4 ya kikombe 6. Baking powder vijiko 2 vya chai 7. Vanilla kijiko 1 cha chai au ganda la limao lililosuguliwa Instagram: https://www.instagram.com/lawracakes_202/?hl=en Facebook: https://web.facebook.com/lawracakesdar/?_rdc=1&_rdr lawracakes.com Tupo Kigamboni DarTags: keki    tanzania    keki tanzania    kuoka keki    keki dar    kuoka na kupamba keki    kujifunza keki    cake    cake baking    cake making    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw