Surprise Me

INATISHA: Picha ya hii ya Ubaguzi wa rangi shuleni Afrika Kusini yazua hasira - HDMaza.pw

Jan 9, 2019 127 12 7,099

Mama wa mtoto katika shule ya awali ya Laerskool Schweizer-Reneke iliyopo katika jimbo la North West huko Afrika Kusini, amechukizwa vikali baada ya picha inayomuonesha mtoto wake wa kike na watoto wengine watatu wa Kiafrika wakiwa wamekaa peke yao mbali na watoto wengine wa kizungu kwenye darasa lao.Tags: laerskool schweizer-reneke    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw