Surprise Me

Dalili TANO za kujua mwanaume HANA interest za kuwa kwenye relationship na wewe - HDMaza.pw

Feb 23, 2018 159 9 10,802

Hizi ndo dalili tano za kujua mwanaume hana interest ya kuwa kwenye relationship na wewe. Karibuni kwenye show mpya ya “THE DAILY DOSE” with SHUBI hapa hapa kwenye channel ya BEAUTYBELLE. Segment hii itakuwa inaongelea relationships kati ya wanawake na wanaume. Kila wiki tunawaletea episode tofauti kuwapa lifestyle tips, relationship, make up tips na ushauri kwenye vitu vingine vinavyotuhusu sisi wasichana. Lengo letu ni kuwasaidia wadada wenzetu kwenye vitu tofauti ambavyo na sisi tumevipitia. Ushauri au ufafanuzi ambao upo kwenye episode hii na episodes zifuatazo ni opinion za Beautybelle. Sio kila jambo ambalo linaongelewa hapa litahusika na kila msichana. Kwahiyo tunakushauri uchukue ufafanuzi zaidi baada ya kufatilia kila kinacho ongelewa hapa. Jiunge nasi kila kila wiki hapa on the Beautybelle channel. click links below kuangalia episode zengine za the Daily DOSE; 1) Dalili TANO za kujua mwanaume ANA interest za kuwa kwenye relationship na wewe - https://www.youtube.com/watch?v 2) Vitu vinne ambavyo mwanaume anapenda kutoka kwa mwanamkE - https://www.youtube.com/watch?v=dRHrWIhtTyM 3) Mambo 5 ya Kufanya ili Mahusiano Yako Yadumu - https://www.youtube.com/watch?v=hnO2IZ7p2_kTags: shubi    shubi noels    shubi mars    beautybelle    wanaume    mwanaume    mwanaume hana interest    mawazo ya relationship    glamourize    glamourize with apple marilyn    hana interest    mwanamke    wanawake    wanawake h    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw