Surprise Me

Mbunge Wa Kusini Aliyelia Bungeni Afikishwa 'Mahakamani' - HDMaza.pw

Jun 28, 2018 13 25 7,772

Mbunge Wa Kusini Aliyelia Bungeni Afikishwa 'Mahakamani' Kufuatia tukio la Mbunge wa Mbunge wa Tandahimba, Katani Katani kudaiwa kuonekana kuguswa sana na sakata la korosho bungeni kiasi cha kumfanya aonekane kama analia bungeni, limetua kwenye mahakama ya wananchi. Kupitia Global TV Online, wananchi wa Arusha wametoa maoni yao kuhusu kitendo hicho cha Mbunge Katani ambapo kila mmoja ametoa maoni yake, wapo wanaoeleza kwamba mbunge huyo ameguswa kweli na shida za wananchi wake na wengine wanamtuhumu kwamba alikuwa anatafuta umaarufu bungeni na kuwahadaa wapiga kura wake. Install GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: ://twitter.com/GlobalHabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe http://www.youtube.com/c/uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 http://www.youtube.com/c/uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis... TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli..Tags: mahakama    mahakama ya wananchi    arusha    mbunge wa kusini aliyelia bungeni afikishwa mahakamani    global tv    mbunge wa kusini    aliyelia bungeni    bungeni    dodoma    korosho    mjadala wa korosho    global tv online    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw