Surprise Me

Siri 5 Za Kukuza Nywele Ndefu | #KuzaNyweleChallenge2018 | Natural Hair - HDMaza.pw

Feb 26, 2018 949 137 173,662

Nywele zetu zinakua. Tatizo kubwa ni kushindwa kwetu kuhifadhi urefu wa nywele zetu na hivyo kuishia kuamini kuwa nywele za Kiafrika au kipilipili hazikui. Katika video hii nakushirikisha siri kuu 5 zilizoniwezesha kukuza nywele zangu. 1. MFUMO WA UTUNZAJI WA NYWELE 2. KUTUMIA BIDHAA ZA ASILI 3. KUACHA TABIA HATARISHI KWA NYWELE 4. KUZIPA NYWELE UNYEVU 5. L8ISHE BORA, KUNYWA MAJI MENGI, KUFANYA MAZOEZI NA KUPIMA AFYA YANGU MARA KWA MARA Je, umejiunga na KuzaNyweleChallenge2018? Kupitia fursa hii nitakupa dondoo na njia mbalimbali za kukusaidia lakini Zaidi sana kukufundisha jinsi ya kutunza nywele zako ili kuhakikisha unahifadhi urefu wake. Kila baada ya miezi 6 tutafanya length check kuangalia nywele zetu zimekua kiasi gani. Fuatana nami social media kupitia: I N S T A G R A M: follow @abeenaturals S N A P C H A T: add++ abeeprecious F A C E B O O K: like Abee Naturals T W I T T E R: follow @abeenaturalsTags: swahili naptural    kuzanywelechallenge2018    kipilipili    nywele za asili    nywele ndefu    kuza nywele    afro hair    natural hair    natural hair grows    grow long natural hair    type 4 hair    4c natural hair    swahili tutorials    tz youtubers    youtube tanzania    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw