Surprise Me

Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Pili - HDMaza.pw

Jan 31, 2019 208 0 1,702

Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Pili Maneno ya Mungu katika video hii ni kutoka kitabu “Neno Laonekana katika Mwili”. Maudhui ya video hii: Tembea katika Njia ya Mungu: Mche Mungu na Kuepuka Maovu Mungu Hutumia Majaribio Tofauti ili Kupima Kama Watu Humcha Mungu na Kujiepusha na Maovu Kutomcha Mungu na Kutojiepusha na Maovu ni Kumpinga Mungu Tazama zaidi: Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu” https://youtu.be/yp3_tjEgHi4 Matamshi ya Mungu | “Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake” Sehemu ya Tatu https://youtu.be/RyrOYkP-xnU Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana. Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 Barua Pepe: [email protected] Wasiliana Nasi: +254-700-427-192 WhatsApp: +254-700-427-192Tags: matamshi ya mungu    maonyesho ya mungu    maneno ya roho mtakatifu    maneno ya roho mtakatifu kwa makanisa    neno la mungu    maneno ya mungu    sauti ya mungu    matamshi ya kristo wa siku za mwisho    kristo wa siku za mwisho    tabia ya mungu    tembea katika njia ya mungu    kazi ya mungu    kutomcha mungu    mche mungu na kuepuka maovu    kanisa la mwenyezi mungu    mungu    semina ya neno la mungu    mafundisho ya neno la mungu    mahubiri    mahubiri ya neno la mungu    mahubiri ya kiswahili    ibada    injili    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw