Surprise Me

Waziri Mkuu MAJALIWA kwa hili Rais PAUL KAGAME yuko sawa tunamuunga mkono - HDMaza.pw

2018-03-23 0 1

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amepongeza makubaliano yaliyofikiwa na nchi za Afrika za kulifanya bara hilo kuwa eneo huru kibiashara.Majaliwa aliyasema baada ya kumaliza kusaini mkataba wa nchi za Afrika kuhusu mkataba huo akimwakilisha Rais John Magufuli Jijini Kigali ambapo alisema Tanzania imeajiandaa vya kutosha kutekeleza mkataba huo.Tags: waziri    mkuu    majaliwa    kwa    hili    rais    paul    kagame    yuko    sawa    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw