Surprise Me

William Ruto na Gideon Moi wahudhuria mazishi ya mbunge wa Baringo kusini - HDMaza.pw

2018-05-06 0 2

Seneta wa Baringo Gideon Moi sasa amewataka viongozi kutomhusisha babake Daniel Moi kwenye siasa za ubabe kati yake na naibu wa rais William Ruto.Seneta Moi ambaye alizungumza wakati wa mazishi ya mbunge wa Baringo Kusini Grace Kipchoim amesema yeye hajamkosea wala kumdhalilisha kiongozi yeyote, lakini yuko radhi kuvumilia matusi na cheche dhidi yake. Na kama anavyotuarifu Kiama Kariuki, viongozi wa Jubilee waliendelea kumlaumu kwa madai ya kumzuia naibu wa rais William Ruto kukutana na rais mustaafu Daniel Moi, wakisema huo sio ungwana.Tags: kiama kariuki    gideon moi    william ruto    daniel moi    baringo    grace kipchoim    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw