Surprise Me

Matamshi ya Mungu | "Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni" - HDMaza.pw

2018-12-01 0 18

Matamshi ya Mungu | "Kiini Cha Kristo Ni Utiifu kwa Mapenzi ya Baba wa Mbinguni"Mwenyezi Mungu anasema, "Mungu mwenye mwili Anaitwa Kristo, na Kristo ni mwili uliovishwa na Roho wa Mungu. Mwili huu ni tofauti na wa mwanadamu yeyote aliye wa nyama. Tofauti hii ni kwa sababu Kristo sio wa mwili na damu bali ni mwili wa Roho. Anao ubinadamu wa kawaida na uungu kamili. Uungu Wake haujamilikiwa na mwanadamu yeyote. Ubinadamu Wake wa kawaida unaendeleza shughuli Zake zote za kawaida katika mwili, wakati uungu Wake unafanya kazi ya Mungu Mwenyewe. Basi iwe ubinadamu Wake au uungu, yote hujiwasilisha kwa mapenzi ya Baba wa mbinguni. Kiini cha Kristo ni Roho, yaani, uungu. Kwa hivyo, chemichemi Yake ni ile ya Mungu Mwenyewe; Dutu hii haitapinga kazi Yake Mwenyewe, na Yeye hangeweza kufanya kitu chochote kinachoharibu kazi Yake Mwenyewe, wala milele Yeye kutamka maneno yoyote ambayo yanakwenda kinyume na mapenzi Yake Mwenyewe."Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/Kanisa la Mwenyezi Mungu YouTube: https://www.youtube.com/channel/UCkUDnudSY6_KR123N2Yr7mwKanisa la Mwenyezi Mungu Facebook: https://www.facebook.com/kingdomsalvationsw/Kanisa la Mwenyezi Mungu Twitter: https://twitter.com/CAGchurchswKanisa la Mwenyezi Mungu Instagram: https://www.instagram.com/thechurchofalmightygodsw/Kanisa la Mwenyezi Mungu Vimeo: https://vimeo.com/thechurchofalmightygodswUnakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygodApp Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433Barua Pepe: [email protected] Nasi: +254-700-427-192Tags: neno la mungu    maneno ya mungu    maonyesho ya mungu    matamshi ya mungu    sauti ya mungu    maneno ya roho mtakatifu    maneno ya roho mtakatifu kwa makanisa    semina ya neno la mungu    mafundisho ya neno la mungu    mahubiri    mwana wa mungu    mkombozi wa mwanadamu    mungu mwenyewe    mwenyezi mungu    kanisa la mwenyezi mungu    kiini cha kristo ni utiifu kwa mapenzi ya baba wa mbinguni    kristo    roho wa mungu    mwili wa roho    kazi ya mungu    baba wa mbinguni    kiini cha kristo    roho    mungu baba    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw