Surprise Me

Swahili Christian Variety Show | "Mchungaji wetu alisema …" (Mazungumzo Chekeshi) - HDMaza.pw

2018-12-06 0 6

Swahili Christian Variety Show | "Mchungaji wetu alisema …" (Mazungumzo Chekeshi)Yu Shunfu ni muumini katika ulimwengu wa dini ambaye huenzi na huabudu wachungaji na wazee wa kanisa.Yeye hufikiri "wachungaji na wazee wa kanisa wote walikuzwa na Mungu, na kutii wachungaji na wazee wa kanisa ni kutii Mungu, "kwa hivyo yeye humsikiza mchungaji wake katika yote anayofanya, hata katika mambo ya kukaribisha kuja kwake Bwana. Lakini kupitia kwa mjadala mzuri sana, Yu Shunfu amekuja kuona kuwa kuzingatia dhana za dini ni upuzi na upumbavu, na mwishowe anagundua kuwa kumtukuza Mungu huja kwanza katika imani, na kwamba lazima yeyote asetiri "hekalu" la moyo kwa ajili ya Mungu. Kwa hivyo, anaamua kutafuta na kuchunguza njia ya ukweli kivyake ...Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.Injili ya Kushuka kwa Ufalme: sw.kingdomsalvation.org/Kanisa la Mwenyezi Mungu: sw.godfootsteps.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu YouTube: youtube.com/channel/UCkUDnudSY6_KR123N2Yr7mwKanisa la Mwenyezi Mungu Facebook: facebook.com/kingdomsalvationsw/Kanisa la Mwenyezi Mungu Twitter: twitter.com/CAGchurchswKanisa la Mwenyezi Mungu Instagram: instagram.com/thechurchofalmightygodsw/Kanisa la Mwenyezi Mungu Vimeo: vimeo.com/thechurchofalmightygodswKanisa la Mwenyezi Mungu Blogger: nikanisalamwenyezimungu.blogspot.com/Kanisa la Mwenyezi Mungu Wordpress: nikanisalamwenyezimungu.wordpress.com Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.Google Play: play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod App Store: itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 Barua Pepe: [email protected] Nasi: +254-700-427-192Tags: swahili christian variety show    swahili christian variety show 2018    crosstalk    video ya injili    mazungumzo chekeshi    wazee wa kanisa    huabudu wachungaji    wachungaji    kutii mungu    kukaribisha kuja kwake bwana    dhana za dini    kumtukuza mungu    imani    kutafuta na kuchunguza njia ya ukweli kivyake    kumfuata mungu    kikristo    wakristo    kanisa la mwwenyezi mungu    official video    new christian video swahili    ujio wa pili wa yesu    imani katika mungu    siku za mwisho    imani ya kidini    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw