Surprise Me

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (3) - Tunaweza Kunyakuliwa Hadi Ufalme wa Mbinguni Baada ya Kukubali Ukombozi Kutoka kwa Bwana Yesu? - HDMaza.pw

2019-01-09 0 6

"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (3) - Tunaweza Kunyakuliwa Hadi Ufalme wa Mbinguni Baada ya Kukubali Ukombozi Kutoka kwa Bwana Yesu?Tazama Zaidi https://sw.kingdomsalvation.org/videos.htmlKwa msingi wa maneno ya Bwana Yesu akiwa msalabani "Imekwisha," wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini kwa kawaida huhitimisha kwamba kazi ya Mungu ya wokovu wa wanadamu ilikuwa basi imekamilika. Bwana aliporudi, waumini wangepokelewa kwenye ufalme wa mbinguni, bila ya haja ya kazi yoyote ya utakaso na uokoaji wa watu. Je, mtazamo huu wa wachungaji na wazee wa kanisa unalingana na maneno ya Mungu? Bwana Yesu alikuwa akirejelea nini hatimaye, Aliposema "Imekwisha" akiwa msalabani? Kwa nini Mungu atake kuuonyesha ukweli wakati wa siku za mwisho, akiifanya kazi ya kuhukumu na kuwatakasa watu?Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygodApp Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433Barua Pepe: [email protected] Nasi: +254-700-427-192WhatsApp: +254-700-427-192Tags: bwana yesu    kwenye ufalme wa mbinguni    ukombozi    kazi ya mungu    wokovu    ujio wa pili wa yesu    filamu za injili    video za kikristo    video za kikristo 2018    kanisa la mwenyezi mungu    bwana aliporudi    utakaso    uokoaji    maneno ya mungu    siku za mwisho    ukombozi kutoka kwa bwana yesu    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw