Surprise Me

"Kumbukumbu Chungu" | Majadiliano Kuhusu Wokovu na Kuingia kwenye Ufalme wa Mbinguni - HDMaza.pw

2019-01-23 0 4

Filamu za Kikristo "Kumbukumbu Chungu" | Majadiliano Kuhusu Wokovu na Kuingia kwenye Ufalme wa MbinguniHasa ni mtu aina gani anayeweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni? Baadhi ya watu hufikiria dhambi zetu zinasamehewa pindi tunaposadiki Bwana, kwamba pindi tunapookolewa basi tunaokolewa milele, na kwamba mtu aina hii anaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni. Kisha kuna wale wanaosadiki kwamba, ingawa dhambi zetu zinasamehewa pindi tunaposadiki Bwana, bado tunafanya dhambi mara kwa mara na hatujafikia utakatifu, na kwa sababu Biblia inasema kwamba wale ambao si watakatifu hawawezi kumwona Bwana, basi ni vipi tunaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni wakati hatujafikia utakatifu? Hivyo ni nani aliye sahihi na nani asiye sahihi kutokana na mitazamo hii miwili? Tafadhali tazama pande zote mbili zikishiriki katika majadiliano makali!Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygodApp Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433Barua Pepe: [email protected] Nasi: +254-700-427-192WhatsApp: +254-700-427-192Tags: kumbukumbu chungu    filamu za kikristo 2018    filamu za kikristo mpya    filamu za kikristo mpya 2018    filamuz za kikristo kenya    filamu za kikristo tanzania    baba wa mbinguni    ufalme wa mbinguni    wokovu    tafuta ufalme wa mungu kwanza    mapenzi ya mungu    wakristo    makanisa ya nyumbani    kumfuata mungu    kukamilishwa na mungu    majadiliano kuhusu wokovu na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni    kuchunguza njia ya kwenda katika ufalme wa mbinguni    filamu za kikristo    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw