Surprise Me

Filamu za Kikristo "Kumbukumbu Chungu" | Ni Vigezo Vipi vya Kuingia Kwenye Ufalme wa Mbinguni? - HDMaza.pw

2019-01-23 0 7

Filamu za Kikristo "Kumbukumbu Chungu" | Ni Vigezo Vipi vya Kuingia Kwenye Ufalme wa Mbinguni?Kuhusiana na ni mtu aina gani anayeweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni, Bwana Yesu alisema, "ila yule atendaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni" (Mathayo 7:21). Kwa hivyo ni mtu aina gani hasa anayefanya mapenzi ya Baba wa mbinguni? Watu wengi husadiki kwamba wale wanaofuata mfano wa Paulo na kufanya kazi kwa uangalifu na bidii nyingi kwa ajili ya Bwana ndio wanaofanya mapenzi ya Baba wa mbinguni. Kisha kunao wale wanaosadiki kwamba wale ambao wanampenda Mungu pekee kwa moyo wao wote, akili na nafsi, ambao hawatendi dhambi tena na wamefikia utakaso, ndio wanaofanya mapenzi ya Baba wa mbinguni. Hivyo ni nani aliye sahihi na nani asiye sahihi kutokana na mitazamo hii miwili? Tafadhali tazama pande zote mbili zikishiriki katika majadiliano makali!Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.Kauli Maalum: Uzalishaji huu wa video ulitengenezwa kama mradi usio wa faida na Kanisa la Mwenyezi Mungu. Wahusika wanaoonekana katika uzalishaji huu wanafanya kwa msingi wa kutotafuta faida, na hawajalipwa kwa njia yoyote. Video hii isisambazwe kwa mtu mwingine kwa minajili ya faida, na ni matumaini yetu kwamba kila mtu atashiriki kuigawa na kuisambaza hadharani. Wakati unapoisambaza, tafadhali sisitiza chanzo chake. Bila ridhaa ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, hakuna shirika, kundi la kijamii, au mtu binafsi anayeweza kubadilisha au kuhudhurisha visivyo maudhui ya video hii.Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu.Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygodApp Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433Barua Pepe: [email protected] Nasi: +254-700-427-192WhatsApp: +254-700-427-192Tags: kumbukumbu chungu    filamu za kikristo 2018    filamu za kikristo mpya    filamu za kikristo mpya 2018    filamuz za kikristo kenya    filamu za kikristo tanzania    baba wa mbinguni    ufalme wa mbinguni    majadiliano    wokovu    mapenzi ya mungu    kurudi kwa yesu mara ya pili    imani    wakristo    makanisa ya nyumbani    kumfuata mungu    ni vigezo vipi vya kuingia kwenye ufalme wa mbinguni    kuchunguza njia ya kwenda katika ufalme wa mbinguni    ufalme wa mungu    filamu za kikristo    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw