Surprise Me

Mambo 3 Ya Kujua ili Kukuza Mtaji na Pesa Zako.HD - HDMaza.pw

Feb 13, 2018 17 3 1,531

Lazima Ujue mambo 3 haya kwenye mambo ya pesa ASSSET, LIABILITY, INCOME. 1. Asset – Ni vitu vyote vinavyo kuingizia pesa mfukoni mwako.. mfano Nyumba uliyopangisha, pikipiki ya biashara (boda boda), biashara, hisa, ujuzi, n.k 2. Liability – Ni vitu vyote vinavyo kumalizia pesa mfukoni mwako mfano nyumba yako unaishi wewe mwenyewe, gari lako binafsi, na kitu chochoto amabcho utatoa pesa kwa ajili yake. 3. Income – ni kipato chochote unachokipata kwenye mambo yako yote, na pesa unayoingiza mfukoni mwako. Mfano mshahara, faida ya biashara ,hisa n.k 1. Mara zote angalia vitu unavyo vinunua Je! Ni asset kwa maana ya kukuingizia pesa baada ya muda fulani na siyo asset ya kumiliki kitu unachokitumia kila siku hakiingizi pesa ambacho badae utakiuza “watu wa maskini na wakipato cha kati wanatabia ya kupata pesa, na kufanya starehe kwanza halafu kuwekeza badae na kinyume chake kwa matajiri wekeza kwanza starehe baada ya kupata kipato cha kudumu au kipato endelevu (passive income)”Tags: mtaji    kukuza biashara    biashara    kupata pesa    pesa    kipato    matumizi    kuwa tajiri    kujitegemea    maisha bora    hela    money    kuongeza faida    kutafuta mtaji    kuondoa umaskini    vitu vya starehe    nitumiaje pesa    income    liability    asset    savings    akiba    mikopo    
eXTReMe Tracker
HDMaza.pw